Tafuta DHWTangazaTuandikie

PICHA YA JANA


1. hiyo ni new style ya parking,underground parking.Lugala
2. jamaa kachapa kili za kutosha akapotea step. T,king
3. GARI YANGU INAZAMIA CHINI KWA CHINI.HAFIDH KUTOKA MBWENI ZANZIBAR.
4. hiyo ni namna mpya ya kuzuia wizi wa magari mweny nguvu sasa aje aibe
5. pombe sio chai mambo ya manyoya hayoooo
6. sio mbaya tutatokea mlango wa nyuma
7. Mwanangu Gari lipo Parking hivyo acha ushamba. (shaibu)
8. Hiyo kali wazee wa busara mpo!kwa wale waliotelkeza majimbo wakitaka kuendlea twatmie huo mwarobaini palepale bungeni,kudadeeek....Frank(dom)
[ vituko zaidi ]

SLANG

shega: powa (okey)
Demu Mkweche: Msichana Malaya anayejiuza Mwili!!/ Msichana aliyekubuhu kwa umalaya!! (Prostute girl! the one who sells her body!!)
Bonet: Msichana mwenye tako liloumbika (girl with nice button )
kwenda gym/kupiga vyuma: kufanya mapenzi (do sex)
ku sepa: kuondoka/kuachana (to leave/to separate)
dry chama.: kufanya mapenzi bila condom (to have sex without a condom)
zoba: mvivu,mjinga,. (stupid or lazy.)
Shwanga tu : safi tu (fine)
wali nazi: vizuri,imetulia (it's fine,nice)
[ slang zaidi ]
Copyright © 2010 Darhotwire.com All rights reserved.Design by Infocomtechnologies Limited.